Skip to main content
Skip to main content

Marekani ina mpango gani na mafuta ya Venezuela

  • | BBC Swahili
    43,728 views
    Duration: 2:02
    Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito. Alisema makampuni ya Marekani yatarekebisha miundombinu ya mafuta "iliyoharibika vibaya" ya Venezuela na "kuanza kutengeneza pesa kwa ajili ya nchi hiyo". Lakini wataalamu walionya juu ya changamoto kubwa na mpango huo wa Trump, wakisema kuwa ungegharimu mabilioni na kuchukua hadi muongo mmoja kuimarisha pato la mafuta. #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #foryou #trumpSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw