- 9,845 viewsDuration: 5:18Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) imeamuru kufungwa kwa intaneti kwa umma kote nchini humo, huku taifa hilo likielekea katika uchaguzi Alhamisi ya wiki hii. Mapema wiki iliyopita, maafisa wakuu wa serikali walisema hakukuwa na mipango ya kufunga mtandao wakati wa uchaguzi mkuu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw