Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi Uganda 2026: Watu 7 wauawa katika ghasia. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,594 views
    Duration: 28:11
    Takriban Watu 7 wameuawa katika makabiliano kati ya maafisa wa usalama na wafuasi wa upinzani nchini Uganda, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Ghasia hizo zimeripotiwa kutokea katika eneo la Butambala. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw