9 Oct 2025
- Familia ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole ikiongozwa na mama yake mzazi Bi Annamary Polepole imefika mahakamani ikiitaka…
9 Oct 2025
- Alice Mbere, 27, kutoka nchini Kenya, alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka mitano wazazi wake walibaini kuwa hana urefu wa…
8 Oct 2025
- ‘Nina urefu wa sentimita 85, mimi ni mfupi sana’
Alice Mbere, 27, kutoka nchini Kenya, alizaliwa na kilo za kawaida lakini alipofika umri wa miaka…
8 Oct 2025
- Hamas imekabidhi orodha ya majina ya mateka na wafungwa wa Kipalestina ili kubadilishana na mateka wa Israel waliopo Gaza, na imesema ina matumaini…
8 Oct 2025
- Dereva mmoja nchini Uingereza amepigwa marufuku kuendesha kwa kipindi cha miaka minane, na kuhukumiwa kifungo cha miezi 17 gerezani, baada ya…
8 Oct 2025
- Tazama Mwanaume huyu alivyoshtuka na kukimbia baada ya chui anayemkimbiza paka hadi ndani ya mgahawa alipokuwa ameumzika akipata huduma huko nchini…
8 Oct 2025
- Alianza kujulikana zaidi kwa umma mwaka 2012 alipoteuliwa na Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mjumbe wa Tume ya Katiba mpya,…
7 Oct 2025
- Familia ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole imewasilisha ombi mahakamani kumtaka kufikishwa mahakamani kufuatia kutoweka…
7 Oct 2025
- Ni miaka miwili tangu kundi la Hamas liliposhambulia raia wa Israel katika mji wa kusini mwa Israel na kuwateka watu zaidi ya 250 na kuwauwa wengine…
7 Oct 2025
- Miaka miwili tangu uvamizi wa Hamas
7 Oct 2025
- BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitiza…
7 Oct 2025
- BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitiza…
7 Oct 2025
- Wanaume kwa kawaida huwa hawaachi kutoa mbegu za kiume lakini hiyo haimaanishi kuwa hawana ‘ukomo’ wa kupata watoto kama wanawake.
Kadiri mtu…
6 Oct 2025
- Polisi nchini Madagascar wamerusha gesi ya kutoa machozi kuwatawanya vijana waandamanaji waliokuwa wamekusanyika kwa siku ya 12 wakitaka kujiuzulu…
6 Oct 2025
- Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania, Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana,…
6 Oct 2025
- Polisi nchini Tanzania wamesema kuwa bado wanamsubiri aliyekuwa Balozi wa nchi hiyo wa Cuba, na mkosoaji wa serikali Humphrey Polepole kuripoti…
6 Oct 2025
- Mvutano unaongezeka katika eneo la Aktiki — sehemu ya kaskazini kabisa ya dunia kwa sababu eneo hilo linaongezeka joto kwa kasi zaidi kuliko maeneo…
6 Oct 2025
- Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana,…
6 Oct 2025
- Polisi waliojihami kwa silaha za kuzuia ghasia wamezingira maeneo ya Chuo Kikuu cha Antananarivo nchini Madagascar - na kuweka vizuizi katika…
5 Oct 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
5 Oct 2025
- Kwanini Rais Samia ameshindwa Mageuzi (4R) Tanzania ? @sammyawami anaangazia safari hii
Makala utaipata kwa urefu hapahapo katika ukurasa wa…
5 Oct 2025
- Makundi 6 ya dawa ambazo zinatumika sana duniani
lakini tafiti zinaonesha kuwa zinaweza athiri nguvu za kiume
Sababu ni nini na unawezaje kulinda…
5 Oct 2025
- Jeshi la Tanzania limekanusha kuhusika na siasa za nchi hiyo na harakati za mitandaoni.
Kaimu mkuregenzi wa habari na uhusiano wa JWTZ , Kanali…
4 Oct 2025
- Nchi nane zina ardhi ndani ya Duara la Aktiki, zikiwemo Marekani na Urusi. Mataifa haya mawili yanaongeza uwepo wao katika eneo la Aktiki, licha ya…
4 Oct 2025
- Ingawa jeshi linatazamwa kama ishara ya uhuru wa kitaifa na chombo cha msingi cha kutetea mipaka na uhuru wa nchi, kuna idadi ndogo ya nchi ambazo…
4 Oct 2025
- Alisema anakupenda… siku iliyofuata akaomba pesa. Ukaamini, ukatuma, kisha akatoweka.
Lakini hujui, si wewe pekee uliyedanganywa. Mwanaume huyu Simon…
3 Oct 2025
- Maelfu ya raia wa Madagascar wamekuwa wakiandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kwa zaidi ya wiki moja sasa, katika kile kinachoelezwa kuwa…
3 Oct 2025
- Mkesha wa maombolezi unatarajiwa kuandaliwa usiku wa leo huko Manchester Uingereza kufuatia maafa yaliyotokea kwenye hekalu la kiyahudi alhamisi.…
3 Oct 2025
- Mpanda majengo kutoka Ufaransa, Titouan Leduc, alikamatwa na polisi baada ya kujaribu kupanda jengo refu zaidi katika Umoja wa Ulaya kwa kutumia…
3 Oct 2025
- Muziki wa Afrika Mashariki unaendelea kukua kwa kasi na kuvutia mashabiki ndani na nje ya bara. Katika Makala ya Nyota wa Afrika Mashariki wiki hii…
3 Oct 2025
- Kwa nini Wimbo wa Taifa wa Tanzania unafanana na Zambia na Afrika Kusini?
Sammy Awami anaelezea kwa kina sababu haswa ya nyimbo hizi kufanana…
2 Oct 2025
- Watu watatu wamekamatwa nchini Tanzania kufuatia vurugu zilizozuka baada ya watu wasiojulikana kushambulia mabasi yaendayo haraka, almaarufu kama…
2 Oct 2025
- Mamia ya wanaharakatai, akiwemo mwanamazingira kutoka Uswidi Greta Thumberg wamekamatwa mapema leo na kuzuiliwa na jeshi la Israel walipokuwa…
2 Oct 2025
- Mamia ya wanaharakatai akiwemo mwanamazingira kutoka Uswidi Greta Thumberg wamakamatwa mapema leo na kuzuiliw ana jeshi la Israel baada ya maboti…
2 Oct 2025
- Mabasi mapya ya Mwendokasi nchini Tanzania yameanza kubeba Abiria wa maeneo ya Mbezi - Kimara ili kuondoa kero ya usafiri iliyokuwepo katika barabara…
2 Oct 2025
- Nyumba tano ambazo hazikuwa na wakazi na zilikuwa juu ya nguzo zimeanguka baharini baada ya kupigwa na mawimbi hatari huko Buxton, North Carolina.…
2 Oct 2025
- Dr. Jane Goodall, mwanaharakati wa haki za wanyama na mtaalamu wa sokwe, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.
Katika taarifa yake, Taasisi ya…
2 Oct 2025
- Maandamano ya Gen Z kutoka Kenya hadi Morocco, Nepal hadi Peru, na sasa Madagascar,
Wote hawa wamekuwa na mambo matatu makuu ambayo wamekuwa…
1 Oct 2025
- Washirika wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, wamekataa hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama ya jeshi dhidi ya…
1 Oct 2025
- Shirika la Msalaba Mwekundu linasema maelfu ya Wapalestina wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na kwamba kusitishwa kwa dhulma hizo ni suala "la…
1 Oct 2025
- Uamuzi wa mahakama ya kijeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kumhukumu kifo aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila umezua mjadala ndani…
1 Oct 2025
- Tazama nyumba na maduka yalipokuwa yakiathiriwa na tetemeko la ardhi lililotokea pwani ya Ufilipino
Watu wanaonekana wakishikana na kukumbatiana…
1 Oct 2025
- Kwa mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka.
Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana na kuumwa na…
30 Sep 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Hamas ina siku 3 au 4 kujibu pendekezo la mpango wa amani wa Gaza, alioutangaza akiwa na Waziri Mkuu wa…
30 Sep 2025
- Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa hukumu ya kifo kwa rais wa zamani Joseph Kabila kutokana na makosa kadhaa, ikiwemo…
30 Sep 2025
- Serikali ya Marekani imesema kwamba inawazia suala la kuongeza kwa angalau mwaka mmoja, muda wa kutekelezwa kwa mpango wa kibiashara wa AGOA ambao…
30 Sep 2025
- Alexey Molchanov wa Urusi ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kuzama kwa kina hicho kwa pumzi moja tu.
Molchanov amevunja rekodi yake mwenyewe ya…
30 Sep 2025
- Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wagombea urais wanawake wamejitokeza kwa wingi na kwa nafasi ya juu ya…
30 Sep 2025
- Kakakuona anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya mamalia wanaosafirishwa kwa magendo duniani.
Kwa nini wanyama hawa ambao hata hawashambulii…
29 Sep 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasukuma mpango mpya wa amani ili kumaliza vita vya Israel na Gaza wakati wa mazungumzo ya White House na…