29 Sep 2025
- Kampeni za kuwania urais zimeanza rasmi nchini Uganda huku wagombea wanane akiwemo Rais Yoweri Museveni wakitarajiwa kuchuana katika uchaguzi mkuu wa…
29 Sep 2025
- Trump na Netanyau wajadili hatma ya Gaza
29 Sep 2025
- China imefungua rasmi daraja kubwa zaidi duniani kambalo limeweka rekodi ya daraja kubwa zaidi ulimwenguni lililojengwa katika eneo lenye mlima.…
29 Sep 2025
- Uchaguzi wa Zanzibar bila Maalim Seif utakuwaje?
29 Sep 2025
- 'Katika utafiti wa miezi sita, 80% ya watu waliokuja kwenye Benchi la Urafiki walionesha maendeleo katika afya yao ya akili'
Bila rasilimali au…
28 Sep 2025
- Baada ya kufungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, mpaka wa Bunagana kati ya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefunguliwa tena.
Hatua hii…
28 Sep 2025
- Je, unahisi maumivu au uchungu unapoenda haja ndogo, au unajikuta kila wakati unahitaji kukojoa?
Hizi ni baadhi ya dalili za maambukizi ya njia ya…
26 Sep 2025
- Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amezungumzia uamuzi wa nchi zikiwemo Ufaransa na Uingereza kutambua taifa la Palestina, na kuuita "kujiua…
26 Sep 2025
- kumeibua swali ikiwa wimbi hili linamaanisha zama mpya za kisiasa barani Afrika, Lakini wimbi hili litazigusa pia nchi zingine kama Uganda,…
26 Sep 2025
- Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameuambia mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kwamba bado hajamaliza kupambana na Hamas. Wakati wa hotuba yake…
26 Sep 2025
- Tazama kikundi cha watu karibu 25 wenye silaha kilivyovamia duka la vito huko San Ramon, California.
Kwa mujibu wa polisi bidhaa zenye thamani ya…
26 Sep 2025
- Unafahamu ni wanariadha wangapi wa Tanzania wamewahi kutwaa medali za dhahabu katika mashindano makubwa ya kimataifa. Wa kwanza alikuwa Filbert Bayi…
25 Sep 2025
- Viongozi wa Afrika wamelalamika kuhusu kutoshirikishwa kikamilifu katika uongozi wa Umoja wa Mataifa, wakidai kuwa UN imepuuza sauti za mataifa 54 ya…
25 Sep 2025
- Rais wa mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, amehutubia Umoja wa Mataifa leo kwa njia ya video – baada ya utawala wa Rais Donald Trump kumkatalia…
25 Sep 2025
- Wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia nchini Tanzania, na kampeni za uchaguzi zikizidi kushika kasi. Kumejitokeza baadhi ya ahadi ambazo kwa…
25 Sep 2025
- Kiongozi wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amehutubia mkutano mkuuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York.
Hotuba yake imetoa wito wa kuongezwa…
25 Sep 2025
- Tazama shimo kubwa lililojitokeza ardhini nje ya hospitali kubwa jijini Bangkok na kulazimisha watu kuhamishwa na barabara kufungwa katika mji mkuu…
25 Sep 2025
- Mwanamuziki maarufu wa Pop, Rihanna amejifungua mtoto wake wa tatu, wa kike, na mpenzi wake A$AP Rocky.
Mtoto amepewa jina Rocki Irish Mayers na…
25 Sep 2025
- Upasuaji rekebishi (plastic surgery) ni moja ya njia za matibabu ambayo imejipatia umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni, wengi wakiuhusisha…
24 Sep 2025
- Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa katika uchaguzi mkuu wa urais wa nchi hiyo. Chakwera amelihutubia taifa mapema leo na kusema…
24 Sep 2025
- Mwanasiasa kinara wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine ameteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Hapo jana, Rais Yoweri Museveni…
24 Sep 2025
- Baadhi ya raia nchini Malawi wamejitokeza barabarani kusherehekea baada ya Rais wa Malawi Lazarus Chakwera kukubali kushindwa dhidi ya Rais wa zamani…
24 Sep 2025
- Lugha ya alama si njia tu ya mawasiliano tu, ni utambulisho wetu. Ni sauti yetu. Tunataka kutambulika, kueleweka, kushirikishwa na kukubalika.
Ni…
24 Sep 2025
- Tazama namna walinzi wa pwani wa Philippines wakiwaokoa watu wanne baada ya mvua kubwa iliyosababishwa na kimbunga Ragasa kusababisha mto kufurika.…
24 Sep 2025
- Wakenya wako katika hatari kubwa ya maambukizi ya malaria kutokana na mbu aina ya Anopheles funestus kubadilika kitabia na kijenetiki.…
23 Sep 2025
- Rais Yoweri Museveni, ameteuliwa rasmi na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari mwaka ujao. Kiongozi…
23 Sep 2025
- Ufaransa imetangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pia ametoa wito wa kuwepo kwa jeshi la kimataifa…
23 Sep 2025
- Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alipopiga simu kwa Rais wa Marekani Donald Trump baada ya kuzuiwa katika barabara ya New York iliyofungwa kwa ajili…
23 Sep 2025
- Huku Uganda ikijiandaa kwa uchaguzi wake mkuu mwezi Januari 2026, Rais Yoweri Museveni atawania muhula mwingine wa uongozi baada ya kuwa madarakani…
23 Sep 2025
- Wicknell Chivayo, si jina geni barani Afrika,
Hivi karibuni, taarifa iliyodaiwa kutoka bodi ya kupambana na rushwa kutoka Zimbabwe ilisaambaa kupitia…
23 Sep 2025
- Wicknell Chivayo, si jina geni barani Afrika,
Hivi karibuni, taarifa iliyodaiwa kutoka bodi ya kupambana na rushwa kutoka Zimbabwe ilisaambaa kupitia…
22 Sep 2025
- Mahakama Kuu ya Dar es Salaam Tanzania imesoma shitaka linalomkabili mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu, katika…
22 Sep 2025
- Uingereza, Canada, Australia na Ureno zimetangaza kuilitambua taifa la Palestina, kwa pamoja kuashiria mabadiliko ya sera ya nchi zao, japo Marekani…
22 Sep 2025
- Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu amegonga mwamba tena leo hii baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam…
22 Sep 2025
- Viongozi wa dunia wameanza kukusanyika mjini New York kuelekea Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, unaoanza Jumanne. Katika baraza la usalama la UN,…
22 Sep 2025
- Waziri Mkuu wa Albania amemtambulisha “waziri wa AI” kwa wabunge bungeni.
Waziri Mkuu Edi Rama alimtangaza Diella kama sehemu ya baraza lake jipya…
22 Sep 2025
- Florence Amunga ni mwathirika wa vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya ambaye nyumba yake ilichomwa moto akiwa amelala na watoto…
21 Sep 2025
- DJ Gloria, mwenye umri wa miaka 81 ambaye jina lake halisi ni Madelein Mansson, amekuwa akipiga muziki kwenye vilabu vya usiku maarufu nchini…
21 Sep 2025
- Victor Wanyama, kwa jina la utani ,'simba wa muthurwa' ni mchezaji kigogo wa kandanda kutoka Kenya, alikuwa nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya…
20 Sep 2025
- Dkt. Suhail Anjum alikiri kumwacha mgonjwa akiwa na ganzi wakati wa upasuaji ili kufanya mapenzi na muuguzi katika chumba kingine katika Hospitali…
20 Sep 2025
- Bondia mkongwe nchini Tananzani ambaye sasa amegeukia ukocha wa mabondia anasema miaka ya nyuma mchezo wa ngumi haukua na faida yoyote zaidi kupata…
19 Sep 2025
- Milipuko mikali imetikisa Gaza leo, saa chache baada ya Marekani kwa mara ya sita kuzuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio la…
19 Sep 2025
- Vyama vya rais wa sasa wa Malawi Lazarus Chakwera na mtangulizi wake Peter Mutharika vimetangaza ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne…
19 Sep 2025
- Marekani imepiga kura ya turufu katika mswada wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lingetaka usitishaji vita mara moja huko Gaza…
19 Sep 2025
- Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mke wake Brigitte wanapanga kuwasilisha ushahidi wa picha na wa kisayansi katika mahakama ya Marekani ili…
19 Sep 2025
- Mwanamichezo wa Kenya, ambaye anajulikana kama Evans, alisafiri kwenda Urusi kama mtalii.
Anadai kuwa alipokuwa huko,walimlaghai na kusaini mkataba…
19 Sep 2025
- Tazama Mwanaume huyu alivyoponea chupuchupu kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi na kuingia kwenye kituo cha mafuta alipokuwa mtu huyo…
19 Sep 2025
- Karibu kutazama SAMBAZA, aina ya dagaa ambao wamekuwa gumzo kubwa!
Ni ishara ya utamaduni na uchumi kwenye ngambo za Ziwa Kivu.
Huko Goma, nchini…
18 Sep 2025
- Vikosi vya Israel vinaendeleza operesheni ya ardhini Gaza kwa siku ya tatu, vikilenga kuwamaliza wapiganaji wa Hamas na kuwaokoa mateka. Zaidi ya…
18 Sep 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wamesifia uhusiano wa karibu kati ya nchi zao katika ziara ya kitaifa ya siku…