18 Sep 2025
- Trump anadai ametatua migogoro saba mikubwa akiwa rais na alidhani vita vya Ukraine vingekuwa rahisi kumaliza kutokana na uhusiano wake na Putin.…
18 Sep 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amekamilisha ziara yake ya siku mbili nchini Uingereza, ambapo mataifa hayo yamekubaliana kushirikiana katika sekta ya…
18 Sep 2025
- Cardi B ametangaza kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa nne katika mahojiano ya kipekee na CBS.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa rapa huyo na…
18 Sep 2025
- "Ni maoni yangu kwamba wafungwa hawakuwa tu adui wa mkuu wa nchi lakini pia walikuwa maadui wa Wazambia wote," - Hakimu
Mahakama nchini Zambia…
18 Sep 2025
- Jinsi maandamano ya Gen Z yalivyo pindua serikali ya Nepal.
Kuna wanaosema kufungiwa kwa mitandao ya kijamii ndiyo kumesababisha mandamano hayo.…
17 Sep 2025
- Maelfu ya wapalestina wanaendelea kuondoka mji wa Gaza siku moja tu baada ya Israel kuanzisha mashambulizi ya ardhini dhidi ya Hamas. Wakaazi…
17 Sep 2025
- Kumekuwa na ulinzi mkali nchini Uingereza, huku maandamano yakitarajiwa kote nchini humo wakati wa ziara ya pili ya kitaifa ya rais wa Marekani…
17 Sep 2025
- Watumiaji wanne wa mtandao wa TikTok nchini Somalia wamekamatwa kwa kudaiwa kumdhihaki Rais wa nchi hiyo – Hassan Sheikh Mohamud.
Tukio hili…
17 Sep 2025
- Watawa watoroka nyumba ya kulea wazee na kurudi katika nyumba yao ya zamani ya watawa
Sista Bernadette (88), Rita (81), na Regina (86) walitumia…
17 Sep 2025
- Huko Lagos, mpishi @hildabaci alijaribu kuvunja rekodi ya dunia kwa kupika kilo 4,000 za wali
17 Sep 2025
- Nini kilimtokea Monic, binti wa Uganda ambaye simulizi za kifo chake kilisambaa mtandaoni kwa #dubaiportapotty
Subscribe kupata video motomoto kila…
16 Sep 2025
- Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea kwa sasa nchini Malawi baada ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura. Wananchi wa taifa hilo wamepiga kura…
16 Sep 2025
- Israel imeanza kutekeleza operesheni yake kuu ya kuteka na kudhibiti mji wa Gaza kwa kuanzisha operesheni yake ya ardhini. Wakaazi wa mji huo…
16 Sep 2025
- Uchaguzi Malawi: Chakwera, Mutharika au Banda? #bbcswahili #malawi #uchaguzi2025
16 Sep 2025
- Jinsi maandamano ya Gen Z yalivyo pindua serikali ya Nepal.
Kuna wanaosema kufungiwa kwa mitandao ya kijamii ndiyo kumesababisha mandamano hayo.…
16 Sep 2025
- Kifo cha kushtua cha msichana kutoka Uganda kilichosambaa mtandaoni kwa #DubaiPortaPotty.
16 Sep 2025
- Lori lililobeba soda lilitumbukia ndani ya shimo kubwa lililofunguka ghafla barabarani huko Mexico.
16 Sep 2025
- Uchunguzi wa BBC Afrika Eye umefichua ukweli kuhusu tetesi zilizoenea mitandaoni chini ya kibwagizo #DubaiPortaPotty kuhusiana na kifo cha mwanamke…
15 Sep 2025
- Chama cha ACT Wazalendo kimesema uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya Tanzania wa kumuengua mgombea wake wa kiti cha urais Luhaga Joelson Mpina,…
15 Sep 2025
- Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, nchini Tanzania imeendelea leo hii, ambapo Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es…
15 Sep 2025
- Alphonce Simbu :Nimeandika historia
15 Sep 2025
- Polisi wakitawanya wafuasi wa chama cha upinzani, CHADEMA
15 Sep 2025
- Utafiti unaeleza kuwa Mashabiki kindakindaki wa mpira wa miguu wanaweza kujiweka hatarini kwa kupata mshtuko wa moyo, msongo wa mawazo na hata…
14 Sep 2025
- Waziri wa afya wa Sweden azimia siku yake ya kwanza kazini
14 Sep 2025
- Buibui anayesakata dansi
13 Sep 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
13 Sep 2025
- Zuchu: Sijafika hata nusu ya ndoto zangu
12 Sep 2025
- Maafisa wa Marekani wamethibitisha kukamatwa kwa mshukiwa wa tukio la kupigwa risasi kwa mwanaharakati wa mrengo wa kulia, Charlie Kirk.
Subscribe…
12 Sep 2025
- Upinzani nchini Sudan Kusini umekashifu vikali mashtaka ya uhaini na mauaji ambayo yanamkabili Naibu Rais wa kwanza wa nchi hiyo Riek Machar, ukisema…
12 Sep 2025
- Uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2025 utakumbukwaje katika historia.
Mwandishi wa BBC Isabela Mwagodi, anatukumbusha historia iliyowekwa katika miaka…
12 Sep 2025
- Upinzani wa Sudan Kusini umepuuzilia mbali mashtaka ya uhaini na mauaji dhidi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dk. Riek Machar ukiyataja kama “fitina za…
12 Sep 2025
- Zuhura Othman, almaarufu 'Zuchu' ni mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania. Zuchu pia ni mke wa mwanamuziki na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond…
12 Sep 2025
- Mwanaharakati aliyuawa hadharani nchini Marekani – Charlie Kirk ni nani hasa? #bbcswahili #marekani
12 Sep 2025
- Polisi huko Utah Marekani wametoa picha za mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa kihafidhina na mshirika wa karibu wa rais Donald Trump Charlie…
12 Sep 2025
- Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimepamba moto, lakini zaidi zikitawaliwa na chama tawala, Chama Cha Mapinduzi, CCM, ambapo viongozi wake…
12 Sep 2025
- Uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2025 utakumbukwaje katika historia.
12 Sep 2025
- Bilionea aliyekufa bila kuacha mke wala mtoto, nani kurithi mali zake?
11 Sep 2025
- Mgombea Mteule wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina sasa yuko huru kuendelea na mchakato wa uchaguzi baada ya chama…
11 Sep 2025
- Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameonya kwamba mashambulizi zaidi yanaweza kufanyika dhidi ya maafisa wa Hamas walioko Qatar, iwapo…
11 Sep 2025
- Mpina aruhusiwa kuwania urais
11 Sep 2025
- Tanzania imeendelea kufanya vyema kwa nchi za Afrika Mashariki ikiwa ni nchi pekee katika orodha ya nchi saba zenye ma bilionea barani Afrika.
Kwa…
11 Sep 2025
- Israel imetekeleza shambulizi katika mji mkuu wa Qatar, Doha, ikilenga viongozi wakuu wa Hamas. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema…
10 Sep 2025
- Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kwamba maafisa wa ngazi za juu wa ulinzi wa Israel wanazidi kutilia shaka kama kweli viongozi wa Hamas…
10 Sep 2025
- Qatar: Tuna haki ya kujibu mashambulizi
10 Sep 2025
- Jeshi la Nepal limeshika doria katika mitaa ya mji mkuu Kathmandu, baada ya taifa hilo kukabiliwa na machafuko mabaya zaidi kuwahi kutokea kwa miongo…
10 Sep 2025
- Mtakatifu wa kwanza wa kizazi cha milenia ametangazwa rasmi huku maelfu ya watu wakihudhuria ibada hiyo iliyofanyika mjini Roma siku ya Jumapili.…
9 Sep 2025
- Ethiopia imezindua Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance hii leo, lililojengwa katika mto Nile. Makumi ya viongozi wa kigeni, akiwemo Rais wa Kenya…
9 Sep 2025
- Israel imetekeleza shambulizi katika mji mkuu wa Qatar, Doha, ikilenga viongozi wakuu wa Hamas. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema…
9 Sep 2025
- Israel imetekeleza shambulizi jipya mjini Doha, Qatar na kusema kwamba ilikuwa inalenga viongozi wakuu wa Hamas.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje…
9 Sep 2025
- Ujenzi wa bwawa hilo kwenye mkondo wa mto Nile, ambao hutoa maji mengi ya mto huo mkubwa, ulikuwa na utata na nchi zilizo chini ya mto huo.
Mvutano…