9 Sep 2025
- Vijana hawa 13 wa Kitanzania wameamua kuandika historia mpya.
Wakiongozwa na maarifa kutoka vyuo vya ufundi vya ndani wanatengeneza ndege kwa…
9 Sep 2025
- Vijana hawa 13 wa Kitanzania wameamua kuandika historia mpya.
Wakiongozwa na maarifa kutoka vyuo vya ufundi vya ndani wanatengeneza ndege kwa…
8 Sep 2025
- Serikali ya Tanzania imesema haina nia ya kubana uhuru wa habari ama kunyanyasa wanahabari siku chache baada ya kusitisha leseni ya maudhui ya…
8 Sep 2025
- Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho saa nne asubuhi. Mapema hii leo Lissu…
8 Sep 2025
- Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la risasi mjini Jerusalem imeongezeka hadi sita, kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar…
8 Sep 2025
- Wanawake matajiri zaidi barani Afrika wanajenga himaya zao kupitia sekta mbalimbali kama vile mafuta, mawasiliano, mali zisizohamishika na biashara…
8 Sep 2025
- Mwenyekiti wa chama cha upinzini nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu, amepandishwa kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya…
8 Sep 2025
- Hii ni desturi ya kitamaduni ambapo maelfu ya watu hukusanyika baada ya sherehe ya mavuno na huacha mamia ya watu wakiwa wamejeruhiwa kila mwaka.…
8 Sep 2025
- "‘Nina hofu kuhusu wanangu’:
Ugunduzi wa miili zaidi ya 30 katika msitu ulioko pwani ya Kenya umeibua hofu ya kurejea kwa dhehebu lenye utata…
7 Sep 2025
- Programu ya Flo, ambayo ni maarufu kwa kusaidia wanawake kufuatilia mzunguko wa hedhi, hivi karibuni ilishtakiwa kwa madai ya kutoa taarifa binafsi…
7 Sep 2025
- Wanawake matajiri zaidi barani Afrika wanajenga himaya zao kupitia sekta mbalimbali kama vile mafuta, mawasiliano, mali zisizohamishika na biashara…
6 Sep 2025
- Nurdin Bilal @officialshetta anajulikana kwa nyimbo mbalimbali kama vile Nidanganye, Mama Qayla Kerewa na nyingine nyingi.
-
Amezungumza na loko_omi…
6 Sep 2025
- Tazama mashindano haya ya mieleka ya mafuta
Washindan hawa walijipakwa mafuta ya mzeituni katika mashindano haya ya enzi za Milki ya Ottoman…
5 Sep 2025
- Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa wanajeshi kutoka nchi Magharibi watakaotumwa Ukraine watakuwa shabaha halali ya kushambuliwa na Urusi. Hii…
5 Sep 2025
- Rais wa Urusi Vladimir Putin amepinga pendekezo la nchi za Magharibi la kupeleka jeshi nchini Ukraine kufuatia mkutano wa kilele wa Paris unaolenga…
5 Sep 2025
- Rais Xi, Putin na Kim wamenekana hadharani pamoja kwa mara ya kwanza, Je hii ina maanisha nini?
Vladimir Putin na Kim Jong Un wamehudhuria gwaride…
5 Sep 2025
- Maswali ya Mrithi wa kiongozi wa Korea Kaskazini yaliibuliwa upya baada ya uwepo wa binti yake Kim Jong un katika gwaride kubwa zaidi la kijeshi…
5 Sep 2025
- Umewahi kusikia kuhusu Kombe la dunia lililoibiwa kwenye maonesho?
Mwandishi wa BBC Florian Kaijage anakuelezea kisa hiki..
#bbcswahili #soka #…
5 Sep 2025
- Umewahi kusikia kuhusu Kombe la dunia lililoibwa kwenye maonesho?
Mwandishi wa BBC Florian Kaijage anakuelezea kisa hiki..
Makala hii kwa urefu…
4 Sep 2025
- Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky amekuwa mjini Paris ufaransa leo kwa ajili ya mkutano wa washirika wa Kyiv unaojulikana kama muungano wa mataifa…
4 Sep 2025
- Israel imekataa pendekezo jipya la Hamas kuhusu majadiliano ya kina ya kumaliza vita vya Gaza.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC…
4 Sep 2025
- Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky amewasili Paris kufanya mazungumzo na viongozi wa takribani mataifa 30, huku Ufaransa ikisema itaihakikishia…
4 Sep 2025
- Vladimir Putin na Kim Jong Un wamehudhuria gwaride kubwa la kijeshi huko Beijing kwa mwaliko wa Rais wa China, Xi Jinping.
Hii ni mara ya kwanza…
4 Sep 2025
- Serikali ya kijeshi ya Ibrahim Traoré nchini Burkina Faso imepitisha sheria inayopiga marufuku mahusiano ya jinsia moja, ikiwa ni zaidi ya mwaka…
4 Sep 2025
- Matangazo ya Dira ya Dunia 03 09 25
4 Sep 2025
- Karibu katika Waridi wa BBC wiki hii. Kwenye makala ya leo tunamuangazia Florence Amunga ambaye ni mwathirika wa vurugu za baada ya uchaguzi wa mwaka…
3 Sep 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amewashutumu viongozi wa Urusi, China na Korea Kaskazini kwa kupanga njama dhidi ya Marekani baada ya kuonekana pamoja…
3 Sep 2025
- Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na makundi mbalimbali ya watetezi wa haki za binadamu kwa kuwakandamiza wapinzani na wakosoaji, japo serikali ya…
3 Sep 2025
- Matangazo ya Dira ya Dunia 03 09 25
3 Sep 2025
- China imezindua silaha kubwa katika gwaride la kijeshi lililofanyika kuadhimisha ushindi wake dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia.…
3 Sep 2025
- Zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, inaelezwa kuwa macho ya wengi yanaangazia taifa hilo la Afrika…
3 Sep 2025
- Mtanzania Shedrack Chaula, hajulikani alipo kwa mwaka mmoja sasa, familia yake imekuwa ikumtafuta katika maeneo tofauti tofauti bila mafanikio.…
3 Sep 2025
- Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na…
2 Sep 2025
- Viongozi wa China na Urusi wameonyesha mshikamano mkubwa wakati Rais Xi Jinping akiwapokea jijini Beijing. Wawili hao wamefanya mazungumzo kabla ya…
2 Sep 2025
- Mamlaka za Taliban nchini Afghanistan zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki katika tetemeko hilo la jumapili imeongezeka hadi kufikia zaidi ya…
2 Sep 2025
- Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amewasili China katika ziara adimu nje ya nchi yake, wakati ambapo mwenyeji wake Rais Xi Jinping…
2 Sep 2025
- Chama cha ACT Wazalendo kinasubiri majibu kutoka serikalini kuwasilishwa mahakamani hapo tarehe 3 Septemba. Chama hicho kilikwenda Mahakama Kuu ya…
2 Sep 2025
- Ripoti ya hivi karibuni ya Amani ya Dunia ya mwaka 2025 – Global Peace Index imeonesha kuwa usalama barani Afrika bado unakabiliwa na changamoto…
2 Sep 2025
- Mambo saba yanayochangia tetemeko la ardhi kuwa na athari kubwa au dogo.
Mwandishi wa BBC @bosha_nyanje anatufafanulia zaidi
-
-
#bbcswahili #…
2 Sep 2025
- Liverpool wamevunja rekodi ya usajili England kwa kumsajili mshambuliaji wa Kiswidi, Alexander Isak kutoka Newcastle kwa £125m – dili ambalo…
1 Sep 2025
- Waokoaji nchini Afghanistan wanatatizika kufikia vijiji vya maeneo ya mbali ya milima mashariki mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa…
1 Sep 2025
- Chama cha Ukombozi wa Umma yaani CHAUMMA kimezindua rasmi kampeni zake mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam, kikiwa miongoni mwa vyama 17…
1 Sep 2025
- Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa zaidi ya watu 800 wanahofiwa kufariki kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.0 lililotokea…
1 Sep 2025
- Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo…
1 Sep 2025
- Chama cha CHAUMMA kimezindua rasmi kampeni zake tarehe 31 Agosti jijini Dar es Salaam, kikiwa miongoni mwa vyama 17 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa…
1 Sep 2025
- Wakati Tanzania ikielekea katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Oktoba 29, Chama cha CHAUMA nacho kimezindua kampeni zake rasmi…
1 Sep 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
1 Sep 2025
- Bonde la Chebloch nchini Kenya ni bonde lililo na kina cha mita 70 linawavutia watu wanaofika sio tu kuona kina hicho cha maji bali pia kufurahia…
31 Aug 2025
- Daraja la Huajiang Grand Canyon nchini China limefanyiwa majaribio ya siku tano kabla ya kufunguliwa rasmi mwishoni mwa Septemba.
Jaribio la mzigo…
31 Aug 2025
- Ripoti ya hivi karibuni ya Amani ya Dunia ya mwaka 2025 – Global Peace Index imeonesha kuwa usalama barani Afrika bado unakabiliwa na changamoto…