- 3,631 viewsDuration: 4:25Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na mwenzake wa Ukraine Volodymr Zelensky kwa mazungumzo yaliochukua saa moja jijini Davos, uswizi. Trump amekuwa akimshinikiza Zelensky kuafikia makubaliano ya amani na Urusi . Amesema makubaliano hayo yako karibu sana kuafikiwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw