- 11,549 viewsDuration: 20s. Maporomoko hayo yariharibu kambi ya watalii iliyokuwa chini ya Mlima Maunganui katika Kisiwa cha Kaskazini, kuvunja mahema na kupindua magari yaliyokuwa katika maegesho. Maporomoko hayo ya ardhi yalisababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku kadhaa zilizopita, na kusababisha mafuriko na kukatika kwa umeme. #bbcswahili #bbcswahili #newzealand Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw