Skip to main content
Skip to main content

Je ni kwanini Marekani imepeleka meli ya kivita Mashariki ya Kati?

  • | BBC Swahili
    18,921 views
    Duration: 1:54
    Maandamano nchini Iran na mauaji ya waandamanaji, yamefanya mvutano kati ya Iran na Marekani kuongezeka na uwezekano wa shambulio la Marekani dhidi ya Iran umeongezeka. Mapema wiki hii, Rais wa Marekani Donald Trump alisema "manowari kubwa inaelekea Iran." Hata hivyo, alisema, “sio lazima itumike.” Je hii ina maana gani? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw