31 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
30 Aug 2025
- Vijana wa Kimarekani sasa wanawageukia wabunifu wa Kiafrika kutengeneza magauni yao ya ndoto kwa ajili ya prom. Ingawa prom siyo desturi barani…
30 Aug 2025
- Kisiwa cha Chisi, nchini Malawi, kinakumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za afya.
Wagonjwa wanalazimika kushindana na muda,…
30 Aug 2025
- Kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani zimeanza rasmi nchini Tanzania.
Chama tawala, Chama Cha Mapinduzi CCM, kimemsimamisha Rais…
29 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
29 Aug 2025
- Wanamuziki Zuchu, Eddy Kenzo na Savara wanatarajiwa kuandaa tamasha la kukata na shoka kufunga mashindano ya CHAN ambayo yamefanyika Kenya, Uganda na…
29 Aug 2025
- Tazama jengo hili kaskazini mwa India lilivyoanguka punde tu baada ya helikopta ya uokoaji kumaliza kuiokoa familia iliyokuwa imezingirwa na maji ya…
29 Aug 2025
- Irene Mbithe, 27, maisha yake yalibadilika baada ya kushambuliwa na fisi, anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio hilo…
28 Aug 2025
- Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi leo hii, huku chama tawala, Chama Cha Mapinduzi CCM kikifungua dimba kwa kufanya mkutano…
28 Aug 2025
- Wanachama wote wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, isipokuwa Marekani tu, wamesema kwa kauli moja kwamba baa la njaa linaloshuhudiwa Gaza ni…
28 Aug 2025
- Siku 90 za kampeni zimeng'oa nanga rasmi nchini Tanzania huku mgombea wa chama tawala CCM - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni yake ya kwanza…
28 Aug 2025
- 'Najua kulikuwepo na maneno au vijineno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa, nasema waliokuwa wanayasema hayo labda wanajifanya hamnazo'…
28 Aug 2025
- Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu zimeanza rasmi leo, kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Chama Cha Mapinduzi…
28 Aug 2025
- Katika siasa za Chama Cha Mapinduzi (CCM), mojawapo ya maswali ambayo mgombea mwenza wa mgombea urais hutakiwa kujibu ni moja; ni lipi hasa…
28 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
28 Aug 2025
- Mtoto wa sokwe aliyezuiliwa mwaka jana katika uwanja wa ndege wa Istanbul nchini Uturuki wakati walanguzi walipojaribu kumsafirisha kutoka Nigeria…
27 Aug 2025
- Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imewateua wagombea 17 kuwania nafasi za urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, huku…
27 Aug 2025
- Chama cha upinzani nchini Tanzania ACT Wazalendo kimefungua kesi katika mahakama kuu nchini humo kupinga hatua ya mgombea wake wa Urais Luhaga Mpina…
27 Aug 2025
- Tanzania inatarajiwa kuandaa uchaguzi Mkuu baadaye mwezi Oktoba. Tume ya kusimamia uchaguzi INEC imepokea na kuidhinisha watakaogombea Urais na…
27 Aug 2025
- Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea kwa mshtuko barua ya Tume ya Uchaguzi kuwa mgombea wake wa urais asifike ofisi za Tume kwa ajili ya uteuzi…
27 Aug 2025
- Kwa miaka mingi, klabu kongwe za soka Tanzania Yanga na Simba zimekuwa zaidi ya timu za mpira; zimekuwa jukwaa la siasa, kusaka umaarufu na daraja la…
26 Aug 2025
- Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania imebatilisha uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ikidai kwamba…
26 Aug 2025
- Polisi mjini Tel Aviv, Israel wamekabiliana na waandamanaji katika maandamano yaliyotajwa kama siku ya kukatiza shughuli za kawaida nchini humo.…
26 Aug 2025
- Sudan ndiye mwakilishi wa pekee kutoka mashariki mwa Afrika ambaye yupo kwenye nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024. Anashuka uwanjani dhidi ya…
26 Aug 2025
- Tazama jinsi wafanyakazi wa Helkopta ya Ufaransa walivyonusurika kifo katika ziwa wakati wakijaribu kuteka maji
-
-
#bbcswahili #ufaransa #ajali…
25 Aug 2025
- Kesho Jumanne, Sudan atateremka uwanjani kuonja makali ya Madagascar katika ngarambe ya nusu fainali ya kwanza itakayochezwa katika uga wa Benjamin…
25 Aug 2025
- Maafisa wa afya wa Palestina huko Gaza wanasema zaidi ya watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel yaliyolenga Hospitali ya Nasser…
25 Aug 2025
- Tahadhari: Maudhui ya afya ya sehemu za siri
Wanawake mpo? Je ni kweli bidhaa za 'Kubana' Uke zinafanya kazi?
Umewahi kuona matangazo ya bidhaa…
25 Aug 2025
- Waandishi wa habari 5 ni miongoni mwa watu zaidi ya 20 waliouawa kwenye shambulizi la angani lililolenga hospitali ya Gaza. Shirika la kimataifa la…
25 Aug 2025
- Helicobacter pylori, inayojulikana kama H. pylori, ni aina ya bakteria ambayo inaweza kukaa ndani ya tumbo la binadamu.
-
Bakteria huyu anaweza…
25 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
24 Aug 2025
- Helicobacter pylori, inayojulikana kama H. pylori, ni aina ya bakteria ambayo inaweza kukaa ndani ya tumbo la binadamu.
Bakteria huyu anaweza…
24 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
23 Aug 2025
- Je unazijua faida za kiafya utakazozipata endapo utapanda ngazi kila siku, ikilinganishwa na kutumia lifti?
Kupanda ngazi ni mazoezi rahisi…
23 Aug 2025
- Kwa miaka mingi, klabu kongwe za soka Tanzania Yanga na Simba zimekuwa zaidi ya timu za mpira; zimekuwa jukwaa la siasa, kusaka umaarufu na daraja la…
23 Aug 2025
- Je unazijua faida za kiafya utakazozipata endapo utapanda ngazi kila siku, ikilinganishwa na kutumia lifti?
Kupanda ngazi ni mazoezi rahisi…
23 Aug 2025
- Nurdin Bilal @officialshetta anajulikana kwa nyimbo mbalimbali kama vile Nidanganye, Mama Qayla Kerewa na nyingine nyingi.
Siku za hivi karibuni…
22 Aug 2025
- Matumaini ya Kenya kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024 yameisha kupitia mikwaju ya penalti, baada ya timu hizo kutoka sare ya…
22 Aug 2025
- Iran imeanza mazoezi yake ya kwanza ya kijeshi tangu kumalizika kwa vita vyake vya siku 12 na Israel, Televisheni ya taifa iliripoti Alhamisi.…
22 Aug 2025
- Leo, Kenya na Tanzania wanacheza mechi zao za robo fainali ya CHAN 2024.
Matumaini ya mashabiki wa mataifa hayo mawili yako juu sana, kila mmoja…
22 Aug 2025
- Tarehe 6 Februari, 1958, historia ya soka ilibadilika baada ya Ndege ya Manchester United, ikiwa imetoka kushiriki mechi ya Kombe la Ulaya, kuanguka…
21 Aug 2025
- Serikali ya Uganda imethibitisha kuweka makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa kupata hifadhi nchini humo. Hatua hii ni sehemu ya…
21 Aug 2025
- Uganda imethibitisha kuingia katika makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa hifadhi nchini humo, ikiwa ni sehemu ya mpango wa…
21 Aug 2025
- Je, unajua kuwa Afrika ni kubwa zaidi kuliko inavyoonekana kwenye ramani nyingi?
Ukweli ni kwamba bara hili linaweza kabisa kubeba Marekani, China…
21 Aug 2025
- Washiriki walitembea kati ya vilele viwili vilivyotenganishwa kwa zaidi ya kilomita moja juu ya kamba yenye upana wa sentimita 2 pekee na mita 400…
21 Aug 2025
- Je unajua kuwa Bara la Afrika ni kubwa zaidi kuliko jinsi linavyochorwa kwenye ramani nyingi duniani.
Sasa Umoja wa Afrika unataka ramani zionyeshe…
21 Aug 2025
- Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) hivi karibuni imekuwa uwanja wa mateso, hofu, na umwagaji damu unaoendelea bila kikomo.
Katika…
21 Aug 2025
- Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) hivi karibuni imekuwa uwanja wa mateso, hofu, na umwagaji damu unaoendelea bila kikomo.
Katika…
20 Aug 2025
- Israel imewaita maelfu ya wanajeshi wake wa akiba kurejea katika wiki chache zijazo, kabla ya mpango wa mashambulizi ya ardhini ya kuuteka mji wote…
20 Aug 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw