Skip to main content
Skip to main content

Muongozo mpya wa wahamiaji nchini Marekani

  • | BBC Swahili
    12,951 views
    Duration: 1:24
    Muongozo mpya wa wahamiaji nchini Marekani umeweka zuio la visa kwa watu wenye unene uliopitiliza, saratani, au kisukari, pamoja wale waliopo kwenye umri wa kustaafu @sammyawami anatuhabarisha zaidi; - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw