Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mkuu wa Tanzania, Haukuwa huru wala wa haki ulikiuka maadili na kanuni za kidemokrasia- AU

  • | BBC Swahili
    26,301 views
    Duration: 2:50
    Uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 ulikiuka maadili ya kidemokrasia na uligubikwa na dosari chungu nzima. Ripoti ya Umoja wa Afrika- @africanunion_official ambayo imeituhumu Tanzania kwa kukiuka maadili na kanuni za kidemokrasia hususan katika kipindi cha uchaguzi uliokamilika. - "Tanzania inahitaji kuwajibikia wananchi wake kuheshimu maoni tofauti ya kisiasa, kuimarisha ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisiasa”- Ripoti ilitoa mapendekezo. Rais Samia Suluhu Hassan aliyetangazwa mshindi na asilimia 98% ya kura zote zilizopigwa, hakuficha mawazo yake alipotangaza wazi kuwa Tanzania haitakubali kulekezwa. "Maagizo ya kutuelekeza nini cha kufanya tumeyakata Hata hivyo " Ushauri wao tutauzingatia ili tufanye vizuri zaidi siku zijazo'' Tume huru ya uchaguzi Tanzania kwa upande wake erikali imesisitiza kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika ulikuwa huru na wa haki fauka ya ripoti za taasisi za EU EAC SADC na sasa AU kusema vinginevyo. - Munira Hussein ametuandalia tathmini hii - - #bbcswahili #tanzania #maandamano #uchaguzi #africanunion #sadc #umojawaulaya #Eu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw