Skip to main content
Skip to main content

Ahukumiwa kifo kwa kuua Gen Z Bangladesh

  • | BBC Swahili
    62,405 views
    Duration: 1:59
    Mahakama nchini Bangladesh imemhukumu kifo Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Sheikh Hasina kutokana na ukandamizaji mbaya wa maandamano dhidi ya serikali mwaka jana. Mahakama imebaini kuwa aliamuru ukandamizaji wa maandamano ya wanafunzi mwaka jana tukio ambalo Umoja wa Mataifa unakadiria liliua hadi watu 1,400. Huku hukumu ya kifo ikitangazwa dhidi ya Sheikh Hasina, shangwe zilitanda ndani na nje ya mahakama. - - #bbcswahili #genz #maandamano #bangladesh