- 13,969 viewsDuration: 10:42Marekani na Iran zimekuwa mahasimu kwa muda mrefu, lakini hapo awali zilikuwa washirika wa karibu. Hapa, tunaangazia baadhi ya matukio muhimu yaliyosababisha kuvunjika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili na kueleza pia nafasi ya Rais Donald Trump katika muktadha huo. Chapters 00:00 - 00:57 Jinsi Marekani na Iran zilivyoanza Uhasimu wakubwa. 00:50 - 02:00 Jinsi mafuta nchini Iran yalivyobadilisha nafasi ya nchi hiyo katika ulingo wa kimataifa. 01:54 - 03:00 Mapinduzi ya mwaka 1953 na 1979 03:09 - 03:24 Kuwasili kwa Khomeini na kuibadilisha Iran. 04:15 - 05:25 Vita ya Iran na Iraq 05:25 - 05:55 Iran kuunga mkono vikundi vya silaha. 05:58 - 06:37 Mpango wa nyuklia wa Iran 06:38 - 07:30 Mvutano unazidi kuongezeka chini ya Rais Trump 07:32 - 07:50 Shambulio la Oktoba 7, na msaada wa Iran kwa Hamas. 08:48 - 9:22 Vikwazo zaidi kwa Iran na kuporomoka kwa uchumi wa Iran 09:27 - 10:29 Kwa nini watu nchini Iran wanaandamana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw