- 15,208 viewsDuration: 2:33Marekani inaonekana iko tayari kuishambulia Iran ndani ya siku chache zijazo. - Ingawa malengo yanayowezekana yanaweza kutabirika kwa kiasi kikubwa, matokeo hayatabiriki. - @elizabethkazibure na tathmini ya mambo 7 yanayoweza kutokea endapo Rais Donald Trump ataamua vikosi vya Marekani kushambulia Iran. - - - #bbcswahili #foryou #iran #donaldtrump #ussabrahamlincoln Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw