Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini waathiriwa wa bomu la 1998 wamepigwa kumbo na mahakama Kenya?

  • | BBC Swahili
    629 views
    Duration: 5:57
    Mahakama Kuu nchini Kenya imetupilia mbali ombi la kutaka kulipwa fidia kwa waathiriwa wa mlipuko wa bomu wa mwaka 1998 uliotokea jijini Nairobi, ikiamua kuwa waombaji walishindwa kuthibitisha kuwa serikali ilipuuza wajibu wake wa kuzuia shambulio hilo. Katika hukumu iliyotolewa Jumatano, Jaji Lawrence Mugambi aliamua kwamba ombi hilo, lililowasilishwa mwaka wa 2021, halina umuhimu na halikuthibitisha uwajibikaji kwa upande wa serikali. #DiraYaDuniaTV