Skip to main content
Skip to main content

Ng'ombe atumia ufagio kujikuna

  • | BBC Swahili
    5,191 views
    Duration: 1:29
    Wanasayansi wanaanza kufikiria upya uwezo wa wanyama baada ya ng’ombe kipenzi kutoka Austria aitwaye Veronika kugundulika akitumia zana kujikuna mgongoni na sehemu ya chini ya mwili wake kwa uzoefu wa kipekee. Kama huamini tazama Frank Mavura na habari hii #bbcswahili #ngombe #maajabu 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw