- 39,957 viewsDuration: 1:15Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu ameteuliwa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya ya uhuru wa mawazo. Tuzo hiyo ya uhuru wa mawazo ilitolewa kwa mara ya kwanza mwaka 1988 kwa aliyekuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini hayati Nelson Mandela. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw