- 15,943 viewsDuration: 1:26Makamu wa Rais nchini Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema si vyema kuendelea kuzungumzia yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na kwamba kufanya hivyo kunatonesha vidonda, na hakulitendei haki taifa. 🎥: Mahakama ya Tanzania #bbcswahili #tanzania #octoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw