- 12,720 viewsDuration: 1:19Tazama gari hili la Bak2Bak ambalo Mmiliki wake Zach Sutton, anasema limetengenezwa kwa kuunganisha sehemu za mbele za magari mawili ya zamani ya Chrysler, moja lililotengenezwa Canada na lingine nchini Marekani. Gari hilo la kipekee huvutia macho mitaani huko Detroit. Sutton anasema lengo la kutengeneza gari hili ilikuwa ni kufurahisha tu watu. #bbcswahili #marekani #ubunifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw