Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya watu wanusurika maporomoko ya ardhi yakipiga Sicily Italia

  • | BBC Swahili
    12,450 views
    Duration: 42s
    Maporomoko makubwa ya ardhi yamesababisha nyufa ardhini na nyumba nyingi zilizoko kwenye mwinuko katika mji wa Niscemi, Sicily nchini Italia, zikiwa hatarini kuanguka. - Wenyeji wanasema tukio hilo lilitokea baada ya mvua kunyesha kwa siku kadhaa. - - #bbcswahili #italy #foryou #maporomoko #sicily Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw