- 3,007 viewsDuration: 7:07Januari 2025 kundi la waasi la M23 liliuteka na kuudhibiti mji wa Goma katika Jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Na tangu wakati huo, mji wa Goma umekuwa chini ya usimamizi wa kundi hilo kwa mwaka mzima. Sasa ni kipi kilichobadilika mashariki mwa DRC katika mwaka huu ambao M23 imekuwa ikidhibiti Goma na Bukavu? #DiraYaDunia