Skip to main content
Skip to main content

Ukraine na Urusi yashindwa kuafikiana kuhusu hatua muhimu. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    14,298 views
    Duration: 28:10
    Siku mbili za mazungumzo kati ya Ukraine, Urusi na Marekani yaliyolenga kumaliza vita vya moscow yamekamilika kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa pekee. Hatua ya kwanza inayofanyika baada ya miezi minne. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw