Skip to main content
Skip to main content

Shimo lenye ukubwa wa takribani mita za mraba 30,000 latokea ghafla Indonesia

  • | BBC Swahili
    15,565 views
    Duration: 41s
    Shimo kubwa ardhini limetokea katika eneo la Central Aceh, Indonesia, na kuzua hofu kwamba linaweza kuendelea kupanuka. Shimo hilo lina ukubwa wa takribani mita za mraba 30,000 na lipo katika eneo la kale la volkano. Linahusishwa na maporomoko ya ardhi yanayoendelea kutokana na mvua kubwa. #bbcswahili #haliyahewa #maporomokoyamaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw