- 13,184 viewsDuration: 28:10Taifa la Iran limesema mazungumzo kati ya Tehran na Washington yamemalizika mjini Muscat, huku pande hizo mbili zikikubali kuendeleza mazungumzo katika siku za usoni. Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Abbas Aragchi amesema wasiwasi wa kutoaminiana unafaa kuondolewa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw