- 18,602 viewsDuration: 2:02Pakistan imethibitisha kufanya mashambulizi katika miji ya Afghanistan ya Kabul na Kandahar, katika kile alichosema ni kulipiza kisasi. Je nini kinaendelea @_phillys anaelezea #bbcswahili #pakstan ##Afghanistan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw