- 15,902 viewsDuration: 3:40Baraza la utambuzi lilimchagua Alireza Aarafi, mjumbe wa wanasheria wa Baraza la Walinzi, kuwa mjumbe wa "wanasheria" wa Baraza la Muda la Uongozi kuongoza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Lakini je Alireza Aarafi ni nani? Faidha Ngaga na taarifa hii: Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw