Skip to main content
Skip to main content

Nani ataiongoza Iran baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa na Marekani na Israel?

  • | BBC Swahili
    14,493 views
    Duration: 6:07
    Ayatollah Ali Khamenei alikuwa kiongozi mkuu wa Iran tangu 1989, na ni mmoja wa wakuu wa nchi waliohudumu kwa muda mrefu zaidi duniani. Alikuwa kiongozi mkuu wa pili nchini Iran tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979. Nje ya taifa la Iran, alihubiri 'kuiangamiza Marekani' katika maisha yake yote. Hata hivyo, nani anaiongoza Iran baada ya kifo chake? #DiraYaDuniaTV