Skip to main content
Skip to main content

Jeshi la DRC lathibitisha kumuua msemaji wa M23, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,484 views
    Duration: 28:16
    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (FARDC) limethibitisha kuwa lilitekeleza shambulizi mjini Rubaya mashariki mwa nchi hiyo na kumuua msemaji wa kijeshi wa kundi la waasi la M23 Willy Ngoma. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw