- 14,179 viewsDuration: 2:06Zimbabwe imekataa mkataba wa ufadhili katika sekta ya afya na Marekani wenye thamani ya dola milioni 367 kwa kipindi cha miaka mitano. #bbcswahili #Zimbabwe #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw