Skip to main content
Skip to main content

Saluni wanayowaimbia kwaya wateja

  • | BBC Swahili
    2,409 views
    Duration: 2:07
    Kutana na Saluni ya @chido_point ambayo imekuwa gumzo mtandaoni,kutokana na mind wake wa kipekee wa kusifu na kuabudu wakati wa kutoa huduma. Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda ametembelea saluni hiyo na kutuandalia taarifa hii. 🎥: @frankmavura - #bbcswahilii #imani #dini #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw