Skip to main content
Skip to main content

Kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz na Iran kutaiathiri vipi dunia?

  • | BBC Swahili
    41,149 views
    Duration: 1:09
    Takribani moja ya tano ya uzalishaji wa mafuta ghafi duniani hupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, Sasa huenda ukafungwa na Iran kutokana na mzozo unaoendelea kati ya Israeli na Marekani dhidi ya Iran Je kufungwa kwa Mlango-Bahari huu kutaiathiri vipi dunia? Munira Hussein anaelezea #bbcswahili #iran #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw