- 7,722 viewsDuration: 1:03Waumini wa Kanisa Katoliki, jamaa na waombolezaji kwa jumla wamehudhuria misa ya kuuaga mwili wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki usiku wa Alhamis Februari, 19, 2026. Marehemu Kardinali Pengo atazikwa Pugu Jumamosi Februari 28, 2026. #bbcswahili #tanzania #kardinalipengo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw