- 21,015 viewsDuration: 58sDonald Trump ametangaza kwamba Marekani imeanza ‘operesheni kubwa za kijeshi’ nchini Iran, akiushutumu utawala wa Iran kwa kuendesha ‘kampeni isiyo na mwisho ya umwagaji damu na mauaji ya halaiki inayolenga Marekani.’ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw