Skip to main content
Skip to main content

Je mzozo wa Iran una maana gani kwa afrika?

  • | BBC Swahili
    34,084 views
    Duration: 58s
    Kufuatia mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran asubuhi ya Jumamosi, Tehran ilijibu kipigo kwa kulenga washirika wa Marekani. Je mzozo huu una maana gani kwa afrika? Mchambuzi wa masuala ya kimataifa Ibrahim Rahbi amezungumzia hilo #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw