- 1,842 viewsDuration: 11:02Rais mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa tena kuliongoza taifa hilo la Afrika Mashariki kwa awamu ya saba, hatua hii ikimfanya awe rais aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini humo. Mpinzani wake mkuu na kinara wa chama cha upinzani NUP - Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amekataa kukubali matokeo hayo akiyataja kama ya kughushi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw