- 3,264 viewsDuration: 47sTazama waandishi wa habari wa Morocco wakitoka nje baada ya kocha wa Senegal, Pape Thiaw, kuwasili katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika Afcon Tukio hilo lilizua sintofahamu iliyosababisha mkutano wa waandishi wa habari kufutwa. #bbcswahili #morocco #senegal