- 16,144 viewsDuration: 28:10Rais wa Marekani Donald Trump hii leo amehitimisha mwaka mmoja madarakani. Suala moja ambalo limesheheni mjadala duniani kote leo ni umiliki wa kisiwa cha Greenland. Trump aliweka wazi ujumbe wa faragha kutoka kwa Emmanuel Macron ambapo kiongozi huyo wa Ufaransa anamueleza Trump kwamba haelewi mpango wake kuhusu Greenland. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw