Skip to main content
Skip to main content

BBC yathibitisha mauaji ya waandamanaji Iran. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    20,533 views
    Duration: 28:10
    Mamia ya picha zinazoonyesha nyuso za watu waliouawa wakati wa maandamano ya Iran ambayo Polisi walitumia nguvu kupitiliza dhidi ya waandamanaji, zimevuja na kupewa kitengo cha kuthibiti taarifa cha BBC Verify. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw