Skip to main content
Skip to main content

Africa Eye inafichua changamoto zilizojificha kwa familia zinaoishi na usonji Malawi

  • | BBC Swahili
    2,360 views
    Duration: 47:00
    Nchini Malawi, wazazi wanaolea watoto wenye usonji hukabiliana na hofu, unyanyapaa na kufanya maamuzi magumu. Kutoka kukata tamaa hadi kupata ujasiri, familia tatu za Malawi zinaeleza kwa Africa Eye hali ngumu ya kuishi na usonji Natasha anatafuta uponyaji nwa mtoto wake mdogo kwa tiba za kienyeji, akilipa takribani dola 15 kwa matumaini ya kuwa roho yake itarudishwa. Martha yeye anasimulia jinsi alivyofikia hatua ya kuvunjika moyo kabisa na hata kufikiria kumuua binti yake mwenyewe. Onil na Angela wanaelezea hofu, huzuni, na hatimaye kukubali baada ya kugundua kuwa watoto wao wawili wako kwenye wigo wa usonji. Filamu hii inachunguza hali halisi ya familia zinazoishi na using nchini Malawi, moja ya nchi maskini zaidi duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw