Skip to main content
Skip to main content

‘Huwa ninajionea huruma’:Kulea mtoto mwenye usonji nchini Malawi

  • | BBC Swahili
    6,127 views
    Duration: 1:29
    'Wanaume huwalaumu wanawake wenye watoto wenye usonji' hii inategemea na uelewa wa mtu.” BBC Africa Eye inasimulia uzoefu wa baba mmoja anayewalea watoto wake wawili wenye usonji pamoja na mke wake nchini Malawi - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw