- 15,081 viewsDuration: 2:28Upasuaji wa kuongeza umbo la makalio unaojulikana kama Brazilian Butt Lift (BBL) umevutia sana watu na ni mojawapo ya taratibu za urembo zinazokua kwa kasi. Hata hivyo, unatambuliwa na wataalamu wa afya, wakiwemo wale wa Huduma ya Taifa ya Afya ya Uingereza (NHS) pamoja na Chama cha Madaktari wa Upasuaji wa Urembo cha Uingereza, kuwa na kiwango cha juu zaidi cha vifo kuliko upasuaji mwingine wowote wa urembo. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee @_phillys alizungumza na mtayarishaji maudhui kutoka Kenya, @lydiawanjiru.ke kuhusu maamuzi yake ya kufanya uapasuaji huo. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw