Skip to main content
Skip to main content

Iran haijashinda vita lakini imefanikiwa kubadilisha mchezo.

  • | BBC Swahili
    183,423 views
    Duration: 1:49
    Vita kati ya Iran dhidi ya Marekani na Israel ilitarajiwa kumalizika haraka haswa baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei. Lakini mwezi mmoja umepita, vita inaendelea bado. Wakati Donald Trump akiahidi mashambulizi makali zaidi, Iran inaonekana kubadilisha mchezo ikiigeuza vita kuwa ya muda mrefu na ya kimkakati zaidi. Je, huu ni mkakati wa makusudi wa Iran kuchosha maadui wake… au ishara kwamba vita hii bado ina sura nyingine? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa zaidi: Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw