Skip to main content
Skip to main content

Marekani na Iran yakubaliana kusitisha mapigano wiki mbili

  • | BBC Swahili
    42,647 views
    Duration: 1:12
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema amekubali kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran kwa muda wa wiki mbili, kufuatia pendekezo la wapatanishi katika mgogoro huo. Trump alisema uamuzi huo umefikiwa baada ya mazungumzo na viongozi wa Pakistan, akiwemo Waziri Mkuu Shehbaz Sharif, ambao waliomba muda zaidi kwa juhudi za kidiplomasia. - - #bbcswahili #trump #israeli #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw