- 37,430 viewsDuration: 2:22Jinsi ujasusi wa Marekani na Uingereza ulivyopindua serikali ya Iran mwaka wa 1953 Mapinduzi haya yaliathiri siasa za Iran na mtazamo wake dhidi ya Magharibi kwa miongo kadhaa. Beldeen Waliaula anaelezea #bbcswahili #marekani #Historia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw