Skip to main content
Skip to main content

Nadharia ya Darwin ya mageuzi ya viumbe ni nini?

  • | BBC Swahili
    2,002 views
    Duration: 6:31
    Kitabu cha Kuhusu Chimbuko la Viumbe cha Charles Darwin pamoja na nadharia yake ya mageuzi ya viumbe kilibadilisha kwa kiasi kikubwa uelewa wetu wa dunia. Mwanasayansi huyo wa masuala ya uasili kutoka Uingereza alikuwa wa kwanza kutoa ushahidi ulioweza kueleza mchakato unaowezesha mageuzi kutokea: na aliuita uteuzi wa asili. Hivyo, akawa mmoja wa wanafikra na wanasayansi muhimu zaidi katika historia. Lakini ili kufanikisha hilo, ilibidi aanze safari ya kipekee, afanye mamia ya majaribio, na ayaandike kwa muda wa miaka ishirini. Mwandishi wa BBC Faidha ngaga anasimulia zaidi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw