- 81,393 viewsDuration: 2:35Tangu vita kati ya Marekani, Israel na Iran kuanza, swali moja linaulizwa: Je, huu unaweza kuwa mwanzo wa Vita vya tatu vya Dunia? Na je vita vya dunia huanza vipi? Mwandishi wa BBC @ahmedbahajjofficial na taarifa hii - - #bbcswahili #iran #marekani #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw