Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa kuongeza makalio: singeweza kukaa kwa wiki sita

  • | BBC Swahili
    4,673 views
    Duration: 15:53
    Upasuaji wa kuongeza umbo la makalio unaojulikana kama Brazilian Butt Lift (BBL) umevutia sana watu na ni mojawapo ya taratibu za urembo zinazokua kwa kasi. Hata hivyo, unatambuliwa na wataalamu wa afya, wakiwemo wale wa Huduma ya Taifa ya Afya ya Uingereza (NHS) pamoja na Chama cha Madaktari wa Upasuaji wa Urembo cha Uingereza, kuwa na kiwango cha juu zaidi cha vifo kuliko upasuaji mwingine wowote wa urembo. Phillys Mwatee alizungumza na mtayarishaji maudhui kutoka Kenya, Lydia Wanjiru, kuhusu maamuzi yake ya kufanya uapasuaji huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw