Skip to main content
Skip to main content

Je, umewahi kujiuliza kwa nini kila vita kubwa duniani huishia kuathiri Afrika?

  • | BBC Swahili
    80,425 views
    Duration: 2:15
    Je, umewahi kujiuliza kwa nini kila vita kubwa duniani huishia kuathiri Afrika… lakini ni mara chache Afrika hushirikishwa kwenye maamuzi? Sasa, wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukizidi kupamba moto, kuna nchi moja isiyotarajiwa ambayo imeingilIa kati kuzuia hali isiharibike zaidi. Pakistan sasa imeibuka kama mpatanishi muhimu kati ya Marekani na Iran. Lakini swali kubwa ni: kwa nini wao? Na hii inamaanisha nini kwa dunia na hasa kwa Afrika? Mwandishi wa BBC Mariam Mjahid na maelezo zaidi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw